-

Sh 20,000
Join kwenye Digital Community, ili kupata mafunzo ya namna ya kutumia digital technology kujiendeleza. Utajifunza kuuza digital products, kutengeneza content, na kutumia social media kama personal office yako. Jifunze jinsi ya ku create, ku market na kuuza digital products, kujenga strong brand na kukuza online business yako. Pata practical strategies za kuongeza customers, sales na kujenga sustainable online income.
Jiunge leo, anza kujifunza, anza kuuza na anza kukua.
-

Sh 1,000
Usikae zaidi ya wiki moja bila kua na mteja kwenye biashara yako wala bila kufanya mauzo kabisa. Biashara yako itakua kama utachukua maamuzi baada ya kupitia nilichokieleza humu ndani. Kila kitu kimeelekezwa kwa ufanisi na kwa udadisi wa hali ya juu. Njia hizi zimefanya kazi kwangu na kwako pia zitafanya kazi. Huitaji kuchosha akili. Kila aya ya andiko hili lina point muhimu. Soma mpaka mwisho
ANGALIZO: Usisome hii nakala kama huwezi kuhudumia wateja wengi, usije ukashindwa kuwahudumia wateja wako vizuri.
-

Kizuri kula na jirani…. Naamini kuna mengi umejifunza kutoka kwangu na yamekusaidia kwa namna moja ama nyingine. Kwa upendo unaweza kuchangia ukuaji wa channel yetu ili tuzidi kukuletea taarifa muhimu za kukusaidia kukua na kusonga mbele kwa namna moja au nyingine. Mchango wako ni tunu kwetu.
Show Love, Get Blessings