IRINGA DIGITAL SUMMIT

This event is going on

IRINGA DIGITAL SUMMIT 2026 — BADILISHA UJUZI WAKO KUWA FURSA!

Una biashara, unataka kukuza personal brand yako, kupata wateja wengi zaidi au kujifunza jinsi ya kutengeneza kipato kupitia digital platforms? Basi event hii ni kwa ajili yako!

Iringa Digital Summit 2026 ni event itakayokutanisha entrepreneurs, business owners, content creators, marketers na watu wanaotaka kutumia digital skills kujenga fursa mpya na kukuza biashara zao.

Tarehe: 24 Oktoba 2026
Muda: Saa 3:00 asubuhi – 9:00 alasiri (9:00 AM–3:00 PM)
Mahali: Highlands Hall, Iringa

Utajifunza nini?

Digital Marketing: Jinsi ya kutumia digital platforms kukuza biashara na brand yako.

Content Creation: Jinsi ya kutengeneza content inayovutia audience na kusaidia kukuza brand yako.

Meta Ads: Jinsi ya kutumia Facebook na Instagram Ads kufikia potential customers na kutengeneza opportunities za kupata wateja.

Sales & Marketing: Mbinu za kutangaza bidhaa au huduma zako na kuwabadilisha watu wanaovutiwa kuwa customers.

Networking: Kukutana na watu wenye malengo kama yako, kubadilishana ideas na kujenga connections zenye manufaa.

Kwa nini usikose?

Hii siyo tu event ya kusikiliza speakers. Ni nafasi ya kujifunza skills unazoweza kuanza kuzifanyia kazi kwenye biashara, kazi au personal brand yako. Dunia inabadilika na digital skills zimekuwa muhimu sana kwa mtu anayetaka kukua na kushindana kwenye soko la sasa.

Na bonus nzuri zaidi? Unapata nafasi ya kuendelea kujifunza hata baada ya event kupitia FREE GROUP MENTORSHIP!

CHAGUA TICKET YAKO

BRONZE — TZS 35,000

  • Kuhudhuria Iringa Digital Summit 2026.

  • Mwezi 1 wa FREE Group Mentorship.

GOLDEN — TZS 45,000

  • Kuhudhuria Iringa Digital Summit 2026.

  • Miezi 3 ya FREE Group Mentorship.

JINSI YA KULIPIA

Lipia online kupitia button apo chini

AU

Mtandao: M-Pesa
Namba ya malipo (Lipa): 56551393
Jina: Lazaro Majaliwa

USIBAKI NYUMA WAKATI WENGINE WANAPOJIFUNZA NA KUJENGA FURSA MPYA!

Chagua ticket yako leo, fanya malipo na utume screenshot ya malipo ili tukuthibitishie booking yako.

Unachagua Bronze au Golden? 

Speaker

Organizer:

Tickets

Free