Sadaka & Support

Kizuri kula na jirani…. Naamini kuna mengi umejifunza kutoka kwangu na yamekusaidia kwa namna moja ama nyingine. Kwa upendo unaweza kuchangia ukuaji wa channel yetu ili tuzidi kukuletea taarifa muhimu za kukusaidia kukua na kusonga mbele kwa namna moja au nyingine. Mchango wako ni tunu kwetu.

Show Love, Get Blessings

1
Category:

Description

Naamini kuna vitu vingi umejifunza kutoka kwangu either direct au inderct na vimekusaidia. Show support yako ili kuwezesha utengenezaji wa content bora na mafundisho ya kila siku. Support yako ndo inatupa nguvu ya kuendelea kukuletea maarifa kiganjani. Tunapokea mchango wowote ulionao bila kinyongo.

Mchango wako utafanya uingie kwenye list ya top supporters na kisha utakua ukipokea early updates na membership access. Kila mwisho wa mwezi tutahakikisha unapata zaidi ya ulichotoA, pia utapewa kipaumbele chakuchagua ni aina gani ya video unayohitaji kisha utatengenezewa kwa ufanisi mkubwa.

Show Love, Get Blessings

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Sadaka & Support”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Schedule Appointment

Fill out the form below, and we will be in touch shortly.

Contact Information
Preferred Date and Time Selection