Jinsi ya kupata wateja, investors na partners. Easy marketing strategies
Sh 1,000
Usikae zaidi ya wiki moja bila kua na mteja kwenye biashara yako wala bila kufanya mauzo kabisa. Biashara yako itakua kama utachukua maamuzi baada ya kupitia nilichokieleza humu ndani. Kila kitu kimeelekezwa kwa ufanisi na kwa udadisi wa hali ya juu. Njia hizi zimefanya kazi kwangu na kwako pia zitafanya kazi. Huitaji kuchosha akili. Kila aya ya andiko hili lina point muhimu. Soma mpaka mwisho
ANGALIZO: Usisome hii nakala kama huwezi kuhudumia wateja wengi, usije ukashindwa kuwahudumia wateja wako vizuri.
Description
Kwenye kitabu hiki utajifunza namna ya kupata wateja au wafadhiri wa biashara yako. Pia utajifunza njia za kupata kazi au tenda kirahisi bila kusambaza CV. Maelezo yameelezwa kwa lugha nyepesi ili kila mtu aweze kuelewa kwa urahisi.

Reviews
There are no reviews yet.