BEGIN:VCALENDAR
VERSION:2.0
PRODID:-//Eventin//Event Calendar//EN
CALSCALE:GREGORIAN
METHOD:PUBLISH
BEGIN:VEVENT
UID:367501ceebcb70f9c9b2b1fb3649850b@www.itslazarus.online
SUMMARY:IRINGA DIGITAL SUMMIT
DESCRIPTION:IRINGA DIGITAL SUMMIT 2026 — BADILISHA UJUZI WAKO KUWA FURSA!
 \nUna biashara\, unataka kukuza personal brand yako\, kupata wateja wengi z
 aidi au kujifunza jinsi ya kutengeneza kipato kupitia digital platforms? Ba
 si event hii ni kwa ajili yako!\nIringa Digital Summit 2026 ni event itakay
 okutanisha entrepreneurs\, business owners\, content creators\, marketers n
 a watu wanaotaka kutumia digital skills kujenga fursa mpya na kukuza biasha
 ra zao.\nTarehe: 24 Oktoba 2026Muda: Saa 3:00 asubuhi – 9:00 alasiri (9:0
 0 AM–3:00 PM)Mahali: Highlands Hall\, Iringa\nUtajifunza nini?\nDigital M
 arketing: Jinsi ya kutumia digital platforms kukuza biashara na brand yako.
 \nContent Creation: Jinsi ya kutengeneza content inayovutia audience na kus
 aidia kukuza brand yako.\nMeta Ads: Jinsi ya kutumia Facebook na Instagram 
 Ads kufikia potential customers na kutengeneza opportunities za kupata wate
 ja.\nSales & Marketing: Mbinu za kutangaza bidhaa au huduma zako na kuwabad
 ilisha watu wanaovutiwa kuwa customers.\nNetworking: Kukutana na watu wenye
  malengo kama yako\, kubadilishana ideas na kujenga connections zenye manuf
 aa.\nKwa nini usikose?\nHii siyo tu event ya kusikiliza speakers. Ni nafasi
  ya kujifunza skills unazoweza kuanza kuzifanyia kazi kwenye biashara\, kaz
 i au personal brand yako. Dunia inabadilika na digital skills zimekuwa muhi
 mu sana kwa mtu anayetaka kukua na kushindana kwenye soko la sasa.\nNa bonu
 s nzuri zaidi? Unapata nafasi ya kuendelea kujifunza hata baada ya event ku
 pitia FREE GROUP MENTORSHIP!\nCHAGUA TICKET YAKO\nBRONZE — TZS 35\,000\n\
 n\nKuhudhuria Iringa Digital Summit 2026.\n\n\nMwezi 1 wa FREE Group Mentor
 ship.\n\n\nGOLDEN — TZS 45\,000\n\n\nKuhudhuria Iringa Digital Summit 202
 6.\n\n\nMiezi 3 ya FREE Group Mentorship.\n\n\nJINSI YA KULIPIA\nLipia onli
 ne kupitia button apo chini\nAU\nMtandao: M-PesaNamba ya malipo (Lipa): 565
 51393Jina: Lazaro Majaliwa\nUSIBAKI NYUMA WAKATI WENGINE WANAPOJIFUNZA NA K
 UJENGA FURSA MPYA!\nChagua ticket yako leo\, fanya malipo na utume screensh
 ot ya malipo ili tukuthibitishie booking yako.\nUnachagua Bronze au Golden?
  
LOCATION:Highlands Hall
DTSTAMP:20261017T234940Z
DTSTART:20261016T050000Z
DTEND:20261017T140000Z
END:VEVENT
END:VCALENDAR
